Anayewachungulia watu wakijamiiana - Hadithi Fupi ya Mapenzi
- Format:
- ePub
- Protection:
- Digital watermark
- Published:
- September 11, 2019
Delivery:
Immediately by email
Description of Anayewachungulia watu wakijamiiana - Hadithi Fupi ya Mapenzi
"Hoteli hii ina kitu cha kipekee, ambacho hakuna hoteli yoyote inayo kama nijuavyo, na imetengewa wateja matajiri zaidi pekee. Inaitwa CHUMBA CHA MICHEZO. Ni mahali ambapo unaweza kulipa ili kuwachungulia wengine wakifanya ngono. Wageni katika hoteli hii wanaweza pia kufanya ngono wenyewe kwa wenyewe hapo. Hali inayosisimua na ya kipekee ni kwamba kuna macho mengine pande ule mwingine pia, ambayo huangalia kwenye dirisha ambalo hufungwa punde tu wanapoacha kujamiiana."
Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.
Cecilie Rosdahl ni mwandishi na msanii kutoka Denmaki. Amesomia sanaa katika shule ya Det Fynske Kunstakademi, Shule ya Sanaa ya Kidenmaki, na uandishi katika Chuo Kikuu cha Southern Denmark. Cecilie Rosdahl amepokeaa ruzuku kadhaa kwa kazi zake kama msanii na mwandishi.

Find similar books
The book Anayewachungulia watu wakijamiiana - Hadithi Fupi ya Mapenzi can be found in the following categories:
- Fiction > Fiction: literary and general non-genre > Modern and contemporary fiction: literary and general
- Fiction > Erotic fiction / Erotica
- Fiction > Romance > Modern and Contemporary romance
- Fiction > Romance > Erotic romance
- Interest qualifiers > Contains explicit or offensive material or content
© 2025 Book Solutions ApS Registered company number: DK43351621