FC Mezzi 2: Kupambana Hadi Mwisho

book 2 in the FC Mezzi series

About FC Mezzi 2: Kupambana Hadi Mwisho

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana! Jake, Nick, Peter na wachezaji wengine wa FC Mezzi wanafanya vizuri kwenye mashindano. Lakini je, wanaweza kushinda na kupanda hadi ligi kuu? Haijawahi kutokea kwenye timu ya mchanganyiko hapo awali. Wapinzani wao ni wazuri sana na wachezaji wa FC Mezzi ni majeruhi. Ni vigumu kuwapata wachezaji wapya kwa muda huu mfupi, lakini inatokea hivyo kwamba mvulana mpya amelekea mjini. Ana jina maarufu la: Zlatan. Lakini je, anaweza kucheza mpira wa miguu? Na je, anapenda kufanya hivyo? Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo! Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.

Show more
  • Language:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726254679
  • Format:
  • ePub
  • Protection:
  • Digital watermark
  • Published:
  • August 27, 2019
Delivery: Immediately by email

Description of FC Mezzi 2: Kupambana Hadi Mwisho

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana!
Jake, Nick, Peter na wachezaji wengine wa FC Mezzi wanafanya vizuri kwenye mashindano. Lakini je, wanaweza kushinda na kupanda hadi ligi kuu? Haijawahi kutokea kwenye timu ya mchanganyiko hapo awali. Wapinzani wao ni wazuri sana na wachezaji wa FC Mezzi ni majeruhi. Ni vigumu kuwapata wachezaji wapya kwa muda huu mfupi, lakini inatokea hivyo kwamba mvulana mpya amelekea mjini. Ana jina maarufu la: Zlatan. Lakini je, anaweza kucheza mpira wa miguu? Na je, anapenda kufanya hivyo?
Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo!
Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.