FC Mezzi 4: FC Mezzi Yakutana na Messi

book 4 in the FC Mezzi series

About FC Mezzi 4: FC Mezzi Yakutana na Messi

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana! FC Mezzi inaenda Barcelona wakati wa likizo ya kiangazi. Wanaenda kuishi kwenye shule yenye bwawa, kucheza kwenye mashindano dhidi ya timu za Hispania, na kutembelea Camp Nou. Wana shauku kubwa. Hata wameweza kutimiza matamanio yao makubwa: Wakiwa wanaelekea Camp Nou wanakutana na Messi! Labda wanaweza hata kurudisha kombe nyumbani? Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo! Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.

Show more
  • Language:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726254655
  • Format:
  • ePub
  • Protection:
  • Digital watermark
  • Published:
  • August 27, 2019
Delivery: Immediately by email

Description of FC Mezzi 4: FC Mezzi Yakutana na Messi

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana!
FC Mezzi inaenda Barcelona wakati wa likizo ya kiangazi. Wanaenda kuishi kwenye shule yenye bwawa, kucheza kwenye mashindano dhidi ya timu za Hispania, na kutembelea Camp Nou. Wana shauku kubwa. Hata wameweza kutimiza matamanio yao makubwa: Wakiwa wanaelekea Camp Nou wanakutana na Messi! Labda wanaweza hata kurudisha kombe nyumbani?
Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo!
Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.