Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 2

About Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 2

Liv Løkke anafanya kazi kwenye duka la jumla la Netto lililoko Paderup, kama mhudumu katika eneo la kulipia. Anachukia mji huo, yeye mwenyewe, kazi yake, na maisha yake yasiyo na umuhimu; na hata hana haja ya kuwaangalia wanunuzi kujua ni akina nani. Anajua watu wengi kwenye eneo hilo na mitindo yao ya ununuzi. Lakini siku moja, inambidi amwangalie mteja fulani aliyenunua bidhaa ambayo ilimkumbusha maisha yaliyopita, na siku ile yenye mkasa ambapo alimuokoa kaka yake kutoka kwa nyumba iliyokuwa ikiteketea moto, baada ya mlipuko wa gesi kumuua mamake. Ni yeye... mpenzi wa mamake. Anadai kuwa na ushahidi kuwa kifo cha mama yake hakikuwa ajali. Inger Gammelgaard Madsen (alizaliwa 1960) ni mwandishi Mdenmaki. Awali Madsen alikuwa msanifu picha. Alianza uandishi kwa riwaya iitwayo, "Dukkebarnet" mnamo 2008 na tangu wakati huo ameandika vitabu kadhaa vya utanzu huo. Kati ya hivi ni "Drab efter begæring" (2009), "Zawadi ya Slangens" (2014), "Dommer og bøddel" (2015), "Blodregn" (2016) na "Msafishaji" (2019).

Show more
  • Language:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726283617
  • Format:
  • ePub
  • Protection:
  • Digital watermark
  • Published:
  • October 8, 2019
Delivery: Immediately by email

Description of Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 2

Liv Løkke anafanya kazi kwenye duka la jumla la Netto lililoko Paderup, kama mhudumu katika eneo la kulipia. Anachukia mji huo, yeye mwenyewe, kazi yake, na maisha yake yasiyo na umuhimu; na hata hana haja ya kuwaangalia wanunuzi kujua ni akina nani. Anajua watu wengi kwenye eneo hilo na mitindo yao ya ununuzi. Lakini siku moja, inambidi amwangalie mteja fulani aliyenunua bidhaa ambayo ilimkumbusha maisha yaliyopita, na siku ile yenye mkasa ambapo alimuokoa kaka yake kutoka kwa nyumba iliyokuwa ikiteketea moto, baada ya mlipuko wa gesi kumuua mamake. Ni yeye... mpenzi wa mamake. Anadai kuwa na ushahidi kuwa kifo cha mama yake hakikuwa ajali.
Inger Gammelgaard Madsen (alizaliwa 1960) ni mwandishi Mdenmaki. Awali Madsen alikuwa msanifu picha. Alianza uandishi kwa riwaya iitwayo, "Dukkebarnet" mnamo 2008 na tangu wakati huo ameandika vitabu kadhaa vya utanzu huo. Kati ya hivi ni "Drab efter begæring" (2009), "Zawadi ya Slangens" (2014), "Dommer og bøddel" (2015), "Blodregn" (2016) na "Msafishaji" (2019).