Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 5

About Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 5

Liv Løkke ana majinamizi, baada ya moto ule na maisha ya awali kuletwa kwa ulimwengu wake wa sasa. Anne Larsen anawasiliana naye. Mwanahabari huyo amemtembelea kakake, na ana hamu kubwa ya kutaka kujua kile alichotaka kutoka kwake, hata anakubali shingo upande kukutana naye kwenye hoteli moja mjini Rhanders. Lakini madai ya mwanahabari huyo yanamkasirisha sana; anaondoka hotelini humo akiwa na ghadhabu. Anapoona tangazo kwenye gazeti kuwa mwanawe Johan Boje alimuona muuaji, anaenda nyumbani mwake Johan Boje kukutana na mwanawe mbele ya mahali alipozikwa babake. Inger Gammelgaard Madsen (alizaliwa 1960) ni mwandishi Mdenmaki. Awali Madsen alikuwa msanifu picha. Alianza uandishi kwa riwaya iitwayo, "Dukkebarnet" mnamo 2008 na tangu wakati huo ameandika vitabu kadhaa vya utanzu huo. Kati ya hivi ni "Drab efter begæring" (2009), "Zawadi ya Slangens" (2014), "Dommer og bøddel" (2015), "Blodregn" (2016) na "Msafishaji" (2019).

Show more
  • Language:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726283587
  • Format:
  • ePub
  • Protection:
  • Digital watermark
  • Published:
  • October 8, 2019
Delivery: Immediately by email

Description of Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 5

Liv Løkke ana majinamizi, baada ya moto ule na maisha ya awali kuletwa kwa ulimwengu wake wa sasa. Anne Larsen anawasiliana naye. Mwanahabari huyo amemtembelea kakake, na ana hamu kubwa ya kutaka kujua kile alichotaka kutoka kwake, hata anakubali shingo upande kukutana naye kwenye hoteli moja mjini Rhanders. Lakini madai ya mwanahabari huyo yanamkasirisha sana; anaondoka hotelini humo akiwa na ghadhabu. Anapoona tangazo kwenye gazeti kuwa mwanawe Johan Boje alimuona muuaji, anaenda nyumbani mwake Johan Boje kukutana na mwanawe mbele ya mahali alipozikwa babake.
Inger Gammelgaard Madsen (alizaliwa 1960) ni mwandishi Mdenmaki. Awali Madsen alikuwa msanifu picha. Alianza uandishi kwa riwaya iitwayo, "Dukkebarnet" mnamo 2008 na tangu wakati huo ameandika vitabu kadhaa vya utanzu huo. Kati ya hivi ni "Drab efter begæring" (2009), "Zawadi ya Slangens" (2014), "Dommer og bøddel" (2015), "Blodregn" (2016) na "Msafishaji" (2019).