Kahaba wa Kiume - Hadithi Fupi ya Mapenzi

By Linda G
About Kahaba wa Kiume - Hadithi Fupi ya Mapenzi

"Anakanyaga kwenye ardhi na kuzima injini, na ghafla anapovua helmeti yake na kuzitikisa nywele zake zilizomfika mabegani ili zisimame vyema kichwani, inanifanya nijihisi kuwa nimepumbazika. Mzizimo unanikimbia mwilini mwangu. Siwezi kudhibiti msukumo unaoyafanya macho yangu yamwangalie kwa juu, na ninafanya hivyo bila kusita. Macho yetu yanapokutana, mawimbi ya nguvu za umeme yananipita mwilini mwangu. Ninasahau kabisa kupumua, hadi pale ambapo mapafu yangu yanapoanza kudai pumzi ndipo ninapovuta hewa nyingi ndani." Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki. Linda G. ni mwandishi wa Kideni wa hadithi fupi za ashiki.

Show more
  • Language:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726216554
  • Format:
  • ePub
  • Protection:
  • Digital watermark
  • Published:
  • September 11, 2019
Delivery: Immediately by email

Description of Kahaba wa Kiume - Hadithi Fupi ya Mapenzi

"Anakanyaga kwenye ardhi na kuzima injini, na ghafla anapovua helmeti yake na kuzitikisa nywele zake zilizomfika mabegani ili zisimame vyema kichwani, inanifanya nijihisi kuwa nimepumbazika. Mzizimo unanikimbia mwilini mwangu. Siwezi kudhibiti msukumo unaoyafanya macho yangu yamwangalie kwa juu, na ninafanya hivyo bila kusita. Macho yetu yanapokutana, mawimbi ya nguvu za umeme yananipita mwilini mwangu. Ninasahau kabisa kupumua, hadi pale ambapo mapafu yangu yanapoanza kudai pumzi ndipo ninapovuta hewa nyingi ndani."
Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.
Linda G. ni mwandishi wa Kideni wa hadithi fupi za ashiki.