Kijana wa Kusafisha Vidimbwi - Hadithi Fupi ya Mapenzi
- Format:
- ePub
- Protection:
- Digital watermark
- Published:
- September 11, 2019
Delivery:
Immediately by email
Description of Kijana wa Kusafisha Vidimbwi - Hadithi Fupi ya Mapenzi
"...kila nilipotazama nilijihisi mnyonge na mwenye kuchanganyikiwa. Kwa kutii amri fulani ya msukomo wa damu, nilivua rinda na kulitupa sakafuni. Chupi zangu zilikuwa zimeloa kwa jasho na hamu. Nilizisukuma chini na zikaishia kuwa kama mrundiko karibu na rinda langu lililokuwa sakafuni. Glasi ya kioo cha dirisha iilikuwa baridi sana iliponigusa matiti yangu yaliyokuwa uchi na tezi zikawa zinanipanda katika maeneo ya ndani kabisa ya mwili wangu. Mawazo yangu yote yalikuwa yakiuzunguka mwili wa kijana huyu, miondoko yake yenye tajriba na misuli yenye nguvu."
Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.
Anita Bang ni mwandishi wa Kideni wa hadithi fupi za ashiki.

Find similar books
The book Kijana wa Kusafisha Vidimbwi - Hadithi Fupi ya Mapenzi can be found in the following categories:
- Fiction > Fiction: literary and general non-genre > Modern and contemporary fiction: literary and general
- Fiction > Erotic fiction / Erotica
- Fiction > Romance > Modern and Contemporary romance
- Fiction > Romance > Erotic romance
- Interest qualifiers > Contains explicit or offensive material or content
© 2025 Book Solutions ApS Registered company number: DK43351621