Lucy na Emma Wanasherehekea Siku Yao ya Kuzaliwa

part of the Lucy na Emma series

About Lucy na Emma Wanasherehekea Siku Yao ya Kuzaliwa

Emma awakaribisha wanafunzi wenzake katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa. Ni sherehe ya kuvutia katika chumba cha kuchezea dansi chenye taa za disko na chakula kitamu. Sasa ni wakati wa Lucy kuwa na sherehe yake mwenyewe ya siku ya kuzaliwa. Lakini sherehe yake itakuwa ya kukata na shoka? Mwandishi kutoka Uholanzi Line Kyed Knudsen (aliyezaliwa mwaka wa 1971) alijulikana mara ya kwanza na "Pigerne fra Nordsletten" mwaka wa 2003. Mnamo 2007 alipewa ruzuku ya Pippi kutoka kwa kampuni ya uchapishaji kule Uholanzi, Gyldendal. Yeye huandika vitabu vya watoto na vijana, na pia hufundisha mbinu za uandishi.

Show more
  • Language:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726254617
  • Format:
  • ePub
  • Protection:
  • Digital watermark
  • Published:
  • December 11, 2019
Delivery: Immediately by email

Description of Lucy na Emma Wanasherehekea Siku Yao ya Kuzaliwa

Emma awakaribisha wanafunzi wenzake katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa. Ni sherehe ya kuvutia katika chumba cha kuchezea dansi chenye taa za disko na chakula kitamu. Sasa ni wakati wa Lucy kuwa na sherehe yake mwenyewe ya siku ya kuzaliwa. Lakini sherehe yake itakuwa ya kukata na shoka?
Mwandishi kutoka Uholanzi Line Kyed Knudsen (aliyezaliwa mwaka wa 1971) alijulikana mara ya kwanza na "Pigerne fra Nordsletten" mwaka wa 2003. Mnamo 2007 alipewa ruzuku ya Pippi kutoka kwa kampuni ya uchapishaji kule Uholanzi, Gyldendal. Yeye huandika vitabu vya watoto na vijana, na pia hufundisha mbinu za uandishi.