Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi

part of the LUST series

About Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi

"Nilihamia Barcelona hivi karibuni, na simjui mtu yeyote zaidi ya wafanyakazi wenzangu katika kituo changu kipya cha kazi. Wao ndio ambao waliniambia kuhusu bwawa la umma. Katika moja ya mabwawa, mwanaume mmoja alikuwa akitambaa kwa mbele. Nikajirusha kwenye maji kisha nikafumbua macho. Mwanaume mkakamavu na mwenye nguvu. Matako yake yalikaza pale miguu yake ilipokuwa inaingia kwenye maji. Nikakiweka kichwa changu juu ya maji tena, na kushika pembe ya bwawa kwa mkono mmoja. Pale mwanamme alipokuwa anasogea mbali yangu, nikairuhusu mkono wangu uende katikati ya miguu yangu. Wakati wa mzunguko wake wa kwanza, mimi nikafikicha nje ya kitambaa. Aliporudi mbali na mimi kwa mara ya pili, nikaiterezesha mikono yangu chini ya kitambaa. Mwili wangu ukahisi joto. Mijongeo yangu ikaongeza kasi. Mashavu yangu yakabubujika, na kama vile ninataka kujipoteza mwenyewe kwenye shughuli yangu, ghafla akasimama. Akaangalia moja kwa moja kwangu kutoka upande mwingine wa bwawa. Mkono wangu uliganda katikati ya miguu yangu. Je, aliona kile nilichokuwa nakifanya? " Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na mtunzi wa Kiswidi Erika Lust. Nia yake ni kuelezea asili ya binadamu na utofauti kwa kutumia hadithi za shauku, urafiki, tamaa na mapenzi katika kuunganisha hadithi zenye nguvu na sanaa inayochochea ashiki. Andrea Hansen huandika hadithi fupi za mapenzi na ni mwandishi mwenza wa mkusanyiko wa hadithi fupi wa Denmark "Udsøgt".

Show more
  • Language:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726270914
  • Format:
  • MP3
  • Protection:
  • Digital watermark
  • Published:
  • September 27, 2019
  • Narrator:
  • Saida Maina
Delivery: Immediately by email

Description of Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi

"Nilihamia Barcelona hivi karibuni, na simjui mtu yeyote zaidi ya wafanyakazi wenzangu katika kituo changu kipya cha kazi. Wao ndio ambao waliniambia kuhusu bwawa la umma. Katika moja ya mabwawa, mwanaume mmoja alikuwa akitambaa kwa mbele. Nikajirusha kwenye maji kisha nikafumbua macho. Mwanaume mkakamavu na mwenye nguvu. Matako yake yalikaza pale miguu yake ilipokuwa inaingia kwenye maji. Nikakiweka kichwa changu juu ya maji tena, na kushika pembe ya bwawa kwa mkono mmoja. Pale mwanamme alipokuwa anasogea mbali yangu, nikairuhusu mkono wangu uende katikati ya miguu yangu. Wakati wa mzunguko wake wa kwanza, mimi nikafikicha nje ya kitambaa. Aliporudi mbali na mimi kwa mara ya pili, nikaiterezesha mikono yangu chini ya kitambaa. Mwili wangu ukahisi joto. Mijongeo yangu ikaongeza kasi. Mashavu yangu yakabubujika, na kama vile ninataka kujipoteza mwenyewe kwenye shughuli yangu, ghafla akasimama. Akaangalia moja kwa moja kwangu kutoka upande mwingine wa bwawa. Mkono wangu uliganda katikati ya miguu yangu. Je, aliona kile nilichokuwa nakifanya? "
Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na mtunzi wa Kiswidi Erika Lust. Nia yake ni kuelezea asili ya binadamu na utofauti kwa kutumia hadithi za shauku, urafiki, tamaa na mapenzi katika kuunganisha hadithi zenye nguvu na sanaa inayochochea ashiki.
Andrea Hansen huandika hadithi fupi za mapenzi na ni mwandishi mwenza wa mkusanyiko wa hadithi fupi wa Denmark "Udsøgt".