Teksi ya Tinder - Hadithi Fupi ya Mapenzi

About Teksi ya Tinder - Hadithi Fupi ya Mapenzi

"Tunaendesha gari usiku wa manane. Ninaruhusu vidole vyangu kucheza na matiti yangu, kwenye tumbo langu na chini ya vazi langu. Ninahisi mapigo ya moyo wangu yakifanya ngozi yangu kugonga." Wakati unajipata unachoweza kufikiria tu siku baada ya sherehe ya kipekee ya Siku yako ya kuzaliwa ya 30 ni jinsi unahitaji kutiwa hadi uridhike, ni wakati wa kuchukua hatua. Hawezi kusubiri tena. Anataka kufanya mapenzi, hata kama haihusishi kitu chochote. Inapaswa kuwa imejawa na hisia kali na inapaswa kufanyika sahii. Anauza zawadi yake inayogharimu zaidi ya Siku yake ya kuzaliwa na kuagiza teksi. Anakoelekea ni kwa yeyote yule atakelingana na yeye kwanza kwenye Tinder... Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki. Lea Lind ni mwandishi wa hadithi za kutia ashiki. Teksi ya Tinder ndio hadithi yake fupi ya kwanza.

Show more
  • Language:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726216547
  • Format:
  • ePub
  • Protection:
  • Digital watermark
  • Published:
  • September 11, 2019
Delivery: Immediately by email

Description of Teksi ya Tinder - Hadithi Fupi ya Mapenzi

"Tunaendesha gari usiku wa manane. Ninaruhusu vidole vyangu kucheza na matiti yangu, kwenye tumbo langu na chini ya vazi langu. Ninahisi mapigo ya moyo wangu yakifanya ngozi yangu kugonga."
Wakati unajipata unachoweza kufikiria tu siku baada ya sherehe ya kipekee ya Siku yako ya kuzaliwa ya 30 ni jinsi unahitaji kutiwa hadi uridhike, ni wakati wa kuchukua hatua. Hawezi kusubiri tena. Anataka kufanya mapenzi, hata kama haihusishi kitu chochote. Inapaswa kuwa imejawa na hisia kali na inapaswa kufanyika sahii. Anauza zawadi yake inayogharimu zaidi ya Siku yake ya kuzaliwa na kuagiza teksi. Anakoelekea ni kwa yeyote yule atakelingana na yeye kwanza kwenye Tinder...
Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.
Lea Lind ni mwandishi wa hadithi za kutia ashiki. Teksi ya Tinder ndio hadithi yake fupi ya kwanza.